kikosi
cha timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys wamerejea
Dar es Salaam na kupokelewa na Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na
Michezo, Dk Harrison Mwakyembe.
Serengeti
Boys imeshindwa kusonga mbele katika michuano ya Afcon nchini Gabon
baada ya kufungwa mechi yao ya mwisho kwa bao 1-0 dhidi ya Niger.
Dk Mwakyembe amewapongeza kutokana na walipofikia licha ya kwamba wameshindwa kutimiza ndoto ya kucheza Kombe la Dunia.
No comments:
Post a Comment