Breaking

PAKUA MCHAINA APP HAPA CHINI USOME HABARI ZETU HATA USIPOKUWA NA MB

Sunday, May 21, 2017

KLOPP ALIVYOPAGAWA NA BAO LA LALLANA LEO ANFIELD LIVERPOOL IKIIPIGA BORO 3-0

Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp akikimbia kushangilia baada ya Adam Lallana kuifungia timu hiyo bao la tatu dakika ya 56 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Middlesbrough leo uwanja wa Anfield kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England hivyo kujihakikishia nafasi ya nne na kukata tiketi ya Ligi ya Mabingwa. Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na  Georginio Wijnaldum dakika ya 45 na ushei na Philippe Coutinho dakika ya 51 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 

No comments:

Post a Comment