Alexis Sanchez wa Chile akienda chini kudai penalti katika mchezo wa mwisho
wa Kundi B Kombe la Mabara dhidi ya Australia leo Otkrytiye Arena mjini
Moscow, Urusi timu hizo zikitoka sare ya 1-1. James Troisi alianza
kuifungia Australia dakika ya 42, kabla ya Martin Rodriguez kuisawazishia
Chile dakika ya 67

No comments:
Post a Comment