Breaking

PAKUA MCHAINA APP HAPA CHINI USOME HABARI ZETU HATA USIPOKUWA NA MB

Monday, June 19, 2017

MWANAMKE AMKATA SEHEMU ZA SIRI MTOTO WA JIRANI YAKE


Hekaheka ya leo June 19, 2017 kupitia Leo Tena ya Clouds FM imetokea Sinza DSM ambapo mwanamke mmoja anadaiwa kumkata sehemu za siri mtoto wa kiume wa jirani yake mwenye umri wa miaka minne akidai amembaka binti yake wa miaka miaka mitatu.
Inadaiwa kuwa watoto hao walikuwa wanacheza nyumbani kwa mama huyo ambapo alidai kuwakuta wakifanya hivyo hivyo kuamua kumkata sehemu za siri mtoto huyo wa jirani jambo lililopelekea kukimbizwa Hospitali na kufanyiwa tohara baada ya mzazi wake kutoa taarifa Polis

No comments:

Post a Comment