Wakati
Kanisa Katoliki Leo Likiadhimisha Sikukuu ya Mwili na Damu ya Bwana
Yesu Kristu maarufu kwa jina la Ekaristi Takatifu, Jijini Daressalaam
katika hali isiyo yakawaida polisi wamekataa maandamano ya kuadhimisha
sherehe hiyo kubwa ya kanisa
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
No comments:
Post a Comment