Breaking

PAKUA MCHAINA APP HAPA CHINI USOME HABARI ZETU HATA USIPOKUWA NA MB

Monday, July 24, 2017

HOW TO GET AWARDS VERIFICATION FROM NACTE FOR DIPLOMA HOLDERS

 
1. Hatua ya kwanza ingia katika website ya nacte BOFYA HAPA  
2. hatua ya pili bofya kipengele kilichoandikwa AWARDS VERIFICATION 
yatakuja maelekezo kama picha inavyonesha hapa chini.

 
3.Kama ni mara ya kwanza kuingia basi bofya kipengele kinachosema if your first time lakini kama ulishafungua akaunti utabofya kipengele kilichoandikwa if your already registered 
4.Hatua ya nne itakuja box itakayokuuliza je umehitimu kidato cha nne? fungua box hilo kama picha inavyoonesha hapo juu na endelea na maelekezo mengine
 
5.hatua ya tano utaulizwa umehitimu kidato cha nne wapi? bofya hapo. 
6.Hatua ya sita utajaza taarifa zako za kidato cha nne kama utakavyoulizwa.

baada ya hapo endelea kadiri ya maelekezo utakayokuwa unapewa na mwisho utapata awards verification yako tayari kufanya application ya kuingia shahada.
 

No comments:

Post a Comment