Breaking

PAKUA MCHAINA APP HAPA CHINI USOME HABARI ZETU HATA USIPOKUWA NA MB

Wednesday, July 5, 2017

MANJI ASOMEWA MASHTAKA AKIWA KITANDANI



Mfanyabiashara maarufu nchini, Yusuf Manji leo Julai 5, 2017 amesomewa mashtaka yake akiwa hospitalini aliko lazwa.

hayo yamejiri baada ya Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu kuhamia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete kwa ajili ya kumsomea mashtaka mfanyabiashara huyo ambaye amelazwa akisumbuliwa na matatizo ya moyo.

No comments:

Post a Comment