Breaking

PAKUA MCHAINA APP HAPA CHINI USOME HABARI ZETU HATA USIPOKUWA NA MB

Wednesday, July 5, 2017

MESSI ASAINI MKATABA MPYA NA BARCELONA

Barcelona announce Lionel Messi has agreed new contract
Barcelona imetangaza kuongeza  mkataba na mchezaji wao maarufu Lionel Messi na kifungu cha kununuliwa  ambacho kinaweza kuongezeka kwa € 300,000 (£ 264m).

Messi alikuwa amewapa wakati mgumu wafuasi wa Barca kwa kuhusishwa na tetesi za kuhama klabuni hapo .Messi alijiunga na Barcelona akiwa na umri wa miaka 13. Mkataba mpya utaenda  mpaka 2021.

No comments:

Post a Comment