Breaking

PAKUA MCHAINA APP HAPA CHINI USOME HABARI ZETU HATA USIPOKUWA NA MB

Wednesday, July 5, 2017

IBRAHIM AJIB ASAINI MKATABA MPYA NA YANGA

Ibrahim Ajib
Migomba amesaini mkataba mpya na klabu ya Yanga wa miaka miwili,Ajib amemaliza mkataba na klabu ya Simba.
Kila lakheri Ajib

No comments:

Post a Comment