Breaking

PAKUA MCHAINA APP HAPA CHINI USOME HABARI ZETU HATA USIPOKUWA NA MB

Wednesday, July 5, 2017

MATUKIO MATANO LACAZETTE AKISAJILIWA NA ARSENAL LEO


Alexandre Lacazette completes £53m move to Arsenal Alexandre Lacazette ameweka rekodi mpya  ya Arsenal baada ya kusajiliwa akitokea Lyon kwa ada ya  thamani ya £ 53m. Mfaransa huyo alikuwa katika kituo cha mafunzo na mazoezi ya Arsenal huko Hertfordshire Jumanne kwa matibabu kabla ya kukamilisha uhamisho wake huo ulioweka wa rekodi mpya kwa Arsenal kutoka Lyon. Na leo  Jumatano alasiri mpango huo umeikamilishwa, na Lacazette amesaini  mkataba wa miaka mitano katika uwanja wa Emirates. Yeye atajiunga na timu yake mpya kwa ziara ya michezo kabla ya msimu kuanza huko Australia na China wiki ijayo.
French striker Alexandre Lacazette has been confirmed as an Arsenal player 
Lacazette akiwa  London siku ya jumanne kwa ajili ya vipimo vya afya
Lacazette poses with his new manager, Arsene Wenger, after moving to Arsenal
Lacazette akiwa na manager wake mpya  Arsene Wenger, baada ya kukamilisha uhamisho
The striker has signed a five-year contract at the Emirates Stadium after leaving Lyon

No comments:

Post a Comment